NAIBU WAZIRI OLE NASHA AFARIKI DUNIA.

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mhe.William Ole Nasha amefariki dunia nyumbani kwake Jijini Dodoma.Taarifa zaidi tutawajuza wasomaji wetu kuhusu chanzo Cha kifo Cha Mhe Ole Nasha.